Mchekeshaji nyota wa nchini Uganda, Anne Kansii
Star
huyu katika mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni amesema kuwa, mapenzi
yake haya kwa watoto pia yamekuwa ni sababu kubwa kwa yeye kuigiza kama
mtoto katika baadhi ya vichekesho ambavyo amekuwa akivifanya.
Kansiime ambaye ana umri wa miaka 27 sasa, ameweka wazi pia kuwa anapenda kuwa na watoto wengi bila kutaja idadi kamili huku akiwa na mpango wa kuanza kukuza familia yake hii kabla ya kutimiza miaka 30.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni