
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Suleimani Msindi ‘Afande sele’, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania). Msanii huyo ametangaza azma yake baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama cha Chadema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni