
Nyota wa filamu ya Empire Andre Lyon
na Anaika Calhoun kama wanavyojiita katika filamu hiyo sasa wamdaiwa
kuwa wapenzi katika maisha yao ya kawaida
Nyota wawili wa filamu ya 'Empire'
Adre Lyon na Anika Calhoun ni watu wa familia moja katika filamu hiyo
lakini katika maisha ya kawaida wawili hao wamedaiwa kuwa wapenzi.
Kulingana
na mtandao wa TMZ nchini Marekani wawili hao walionekana katika harusi
moja wakiwa pamoja na wengi waliohudhuria sherehe hiyo ya kukata na
shoka wanasema nyota hao walionekana kupendana.Katika filamu hiyo ya Empire ambayo ni filamu ya msururu iliyowavutia wengi mwaka huu wawili hao wanaigiza kama mtoto na mama yake wa kambo.
chanzo bbc.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni