
Unakumbuka zamani Wabunge wa upinzani walikuwa wakiona hawatendewi haki na Spika wanasusa na kuondoka Bungeni, kwahiyo mambo mengi yanajadiliwa bila wao kuwepo. Ila kwa sasa wanambinu tofauti ambayo wakiona hawatendewi haki wanasimama juu na kuanza kugonga gonga meza na kupiga kelele hadi Bunge linaharishwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni