DOGO JANJA.
Msanii Dogo Janja ambae kwa sasa amerudi chini ya uongozi wake wa zamani
amefunguka ya moyoni na kusema kuwa katika kipindi kirefu watu wamekuwa
wakimzungumzia vibaya na kumsema kuwa amepotea katika muziki wa Bongo.
Dogo Janja amefunguka hayo leo baada ya jana kuweza kufanya show kali
katika viwanja vya Mwananyamala na kupokewa vizuri na mashabiki wake
ambao walionyesha kumkubali Janjaro.Bofya kusoma zaidi
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni