
Msanii nguli wa bongo Fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee amefunguka na kuweka wazi kuwa katika maisha yake ya kawaida,maisha ya sanaa na maisha ya utafutaji amekuwa akikutana na changamoto mbalimbali zinazopelekea muda mwingine mpaka watu kugombana au kutofautiana kutokana na mtazamo au matatizo mbalimbali na amedai wazi kuwa katika watu wote ambao aligombana nao na yeye kugundua ndiye alikuwa chanzo cha ugomvi huo wote alishawaomba msamaha na wanaendelea na maisha ya kila siku ila kwa ambaye amemkosea yeye itabidi amuombe yeye msamaha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni