Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 9 Februari 2015

MATAIFA YA MILKI ZA KIARABU KUKABILI IS.


ndege za kivita za jordan 
Muungano wa milki ya nchi za kiarabu unasema kuwa unatuma ndege za kivita aina ya F-16 kwenda nchini Jordan kusaidia taifa hilo katika harakati zake za kupambana na kundi la Islamic State kama sehemu ya muungano unaongozwa na Marekani.
Jordan imeapa kuliangamiza kundi hilo ambalo lilimuua kinyama rubani wa ndege za kivita raia wake.
Mashirika ya habari nchini humo yanasema kuwa hatua hiyo ni ishara ya uungwaji mkono unaopata Jordan kufuatia kujitolea kwake katika masuala ya usalama wa eneo hilo.
CHANZO BBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni