Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 1 Aprili 2015

MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10!


Katika Kisiwa cha Mafia mkoa wa Pwani mama aitwaye Mwasiti Ally amekuwa akiwafungia ndani watoto wake ndani kwa muda wa miaka 10 sasa kwa madai kuwa ni wagonjwa wa akili. Watoto hao huko ndani ya chumba wote wamebadilika na kuwa na afya mbaya huku kucha za mikononi na miguuni kurefuka sana, nywele zimekua ndefu kiasi cha kutisha na sura zao kuonekana kama za misukule na kuwa kama walemavu wa miguu. Alianza kuugua mtoto mmoja ambaye ni wa kwanza kuzaliwa, cha ajabu, kila mwaka mwingine akafuatia hadi wa tatu. Mama huyo anadai Sababu kubwa ya kuwafungia ndani tangu mwaka 2005 anasema ni kwaajili ya usalama wao maana anaamini kwa kuwaachia tu wangeweza hata kupotea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni