Ray kama kawaida akiwakonga mashabiki nyoyo ndani ya Escape One
Ray akifanya jambo ambalo liliwafanya mashabiki wake kufa kwa vicheko
Moja ya tukio hili ni kuigiza sauti ya mtangazaji maarufu Reinfred Masako iliyoowacha watu hoi
Mashabiki wakimsikliza kwa ,makini huku wengine wakivunja mbavu
Pozi hili alikuwa akiigiza sauti ya Mfanyabiashara maarufu Mengi na mashabiki wakivunjika mbavu chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni