Alhamisi, 2 Aprili 2015
WABUNGE WA UPINZANI WAJA NA MBINU MPYA BUNGENI.
Unakumbuka zamani Wabunge wa upinzani walikuwa wakiona hawatendewi haki na Spika wanasusa na kuondoka Bungeni, kwahiyo mambo mengi yanajadiliwa bila wao kuwepo. Ila kwa sasa wanambinu tofauti ambayo wakiona hawatendewi haki wanasimama juu na kuanza kugonga gonga meza na kupiga kelele hadi Bunge linaharishwa
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni