Chama cha Soka England(FA) kimemfungulia mashitaka mshambuliaji wa Newcastle United Papiss Cisse.
Cisse amefunguliwa mashitaka kwa kosa la kumpiga kiwiko Beki Seamus Coleman wa klabu ya Everton.Refa wa Mechi hiyo Craig Pawson hakuona tukio la Cisse kumpiga na kiwiko Coleman katika mchezo wa ligi kati ya Newcastle na Everton.
Meneja wa Everton, Roberto Martinez, akiongea baada yamchezo alisema: “Cisse alikua na bahati kutokutolewa mchezoni, kama hatutaki kuona haya Uwanjani, yasiruhusiwe. Alipaswa kupewa Kadi Nyekundu.”
Ikiwa atapatikana na hatia Cisse atakosa michezo mitatu ya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni