Meli ya uokoaji
Waokoaji wamekuwa wakipambana na
upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa karibu abiria 300
ambao wamekwama ndani ya ferry moja ya Italia iliyokuwa imeshika moto
kwenye bahari ya Adriatic.
Maofisa nchini Italia wanasema kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea.Hadi sasa watu 190 wamekolewa kutoka kwa ferry hiyo.CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni