Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 22 Desemba 2014

MH.RAIS : FEDHA ZA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW NI ZA IPTL NA SIO TANESCO (UMMA)


Kikwete: Kimsingi Fedha zilizokuwa kwenye akaunti ni Mali ya IPTL, kwani zililipwa na Tanesco kama tozo ya Umeme wa IPTL
Kikwete: Taifa halikupata hasara yoyote kwakuwa fedha hazikuwa za Tanesco na amelipwa mmiliki halali ambaye ni IPTL
Kikwete: Hili sakata la ‪#‎TegetaEscrow‬ lina mambo mengi, najaribu kuyaeleza pole pole ili mchanganuo wake ueleweke
Kikwete: Akaunti ya tegeta escrow ilianzishwa kwa kuweka fedha kuilipa IPTL ambazo Tanesco ilikuwa inalip
Kikwete: Kila mtu alisema lake, mara kuna watu wamekwenda kwenye benki na wamebeba fedha kwenye viroba, lumbesa na sandarusi.
Kikwete: Uamuzi wa mahakama, na ushauri wa mwanasheria mkuu, uamuzi ule ulitiliwa shaka na kuonekana haukuwa sahihi
Kikwete: Fedha hizi haziwezi kuwa hazina mwenyewe maana mwenyewe ni IPTL
Kikwete: Fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya escrow hazina sifa ya kuhesabika kama ni fedha za Tanesco

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni