Mpiganaji wa Al Shabab
Marekani imesema kuwa bado
inatafakari matokeo ya shambulio la anga lililofanyika Kusini mwa Somali
kumlenga kiongozi mwandamizi wa kundi la wapiganaji wa Al Shabab.
Shambulio hilo limetekelezwa siku chache tangu mtu anayedhaniwa kuwa ni mfuasi wa kundi hilo kushambulia kambi ya majeshi ya Somalia na Jeshi la Muungano wa Afrika.
CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni