![](https://scontent-a-fra.xx.fbcdn.net/hphotos-xfa1/v/t1.0-9/10616168_1107862715894812_5749848330396630915_n.png?oh=0af1ec624d63168b4d27d0f564e59c34&oe=553CC93D)
Tafrani ilizuka Dar es Salaam jana maeneo ya Morocco mida ya saa kumi jioni, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ambako majambazi walipora Sh2 milioni kwa Nuru Patrick aliyeshuka kwenye daladala na mkoba wenye hela, huku mpita njia aliye fahamika kwa jina moja Gloria akikatishwa uhai kwa risasi zilizokuwa zikipigwa hovyo na majambazi hao wakati wanakimbia eneo la tukio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni