Jumamosi, 29 Novemba 2014
MC NAPIA NI MCHEKESHAJI RAY.AKIWA NA MCHEKESHAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA SOMA KILICHOJIRI
Show ya Ence bukuku iliyofanyika golden tulip,usiku wa kuamkia leo show ambayo iliudhuruwa na watu wengi kupita kiasi.show ilianza majira ya saa tatu usiku.na aliyefungua show ni mchekeshaji anaechipukia ajulikanae kama dr.mjusi aliyeigiza sautiya MH.J MRISHO KIKWETE,na kufuatiwa na mchekeshaji kutoka VUVUZELA COMEDY SHOW anaetambulika kwa jina la Side story.balaa lilianza pale alipo panda mchekeshaji mkongwe na bingwa wa kuiga sauti za watu mashuhuri Ray,alikonga nyoyo ya mashabiki hasaalipoigiza sauti ya mtangazaji maarufu wa kituo cha TV,bwana Godwin Gondwe,alizidi kukonga nyoyo ya mashabiki pale alipoigiza sauti ya mwenyekiti wa chadema MH.MBOWE, kelele za vicheko vilisikika pale alipoigiza sauti ya MH.MKAPA.
msanii huyu aliweza kukonga nyoyo za mashabiki na kuwagusa hasa pale alipoigiza sauti ya mfanyabiashara maarufu bwana MENGI.
show ikafuatiwa na msanii muimbaji bora wa kike Tanzania Enika likonga nyoyo za mashabiki kwa kuimba nyimbo mbili na baadae akafuatiwa na msanii oscer.balaa likarudi tena pale alipopanda msanii anaefanya show za ucheshi nje ya Tanzania ambae ni mtanzani ajulikanae Keptain khaleed,aliweza kuwakamata watanzania kisawasawa mwanzo mwisho watanzania ni kufurai,
Baadae alipanda DOGO PEPE.alipoitwa tu kelele zilisikika na alipoingia jukwaani alifanya kweli DOGO PEPE alifunika sana.
ilikuwa ni balaa pale alipopanda the best comedian kutoka Nigeria Basket Mouth.atakama ulikuwa mgumu vipi kucheka ni lazima utacheka tu.watanzania walilipuka kwa vicheko kiasi kwamba wengie walishindwa kuvumilia na kutoka nje ya ukumbi uku machozi yakiwatoka kwa kucheka.
Mshereheshaji alikuwa ni the best comedian kutoka Tanzania EVANSE BUKUKU.alikonga nyoyo za mashabiki kisawasawa kiasi kwamba Basket Mouth alishindwa kuvumilia akaanza kucheka mpaka machozi yakimtoka akiwa Backstage kabla ajapanda na kumwambia Host wake BUCH,kwamba EVANSE kashamaliza kazi sasa yeye ataenda kufanya nini?
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni