Msemaji mkuu wa Rais wa Urusi Dmitry Peskov amezituhumu nchi za magharibi kwa kujaribu kuizunguka nchi hiyo.
Katika
mahojiano na BBC Peskov AMESEMA Urusi itapenda kusikia asilimia 100 ya
ahadi kuihusiana na mzozo wa Ukraine.amesisitiza kuwa hakuna mtu
aliyefikiria kuwa Ukraine ungejiunga na NATO. Amesema hili liliwapa hofu
na kuifanya Urusi kuwa na tahadhali kubwa wakati kuhusiana na mgogoro
wa Ukraine. Awali waziri wa kigeni wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier
alionya kuwa Ulaya wanakabiliwa na upinzani zaidi kuliko kuleta umoja.
Steinmeie ametoa maoni yake kufuatia mazungumzo kati yake na Waziri
mwenzake wa kigeni Sergei Lavrov wa Ujerumani.CHANZO BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni