Zitto: Nimekuwa na mgogoro na chama changu lakini kwenye hili wameniunga mkono, kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA
zittokabwe : Wabunge wa Chama changu wamekuwa na mimi na kwa mara ya kwanza nimeudhuria kikao cha UKAWA, nawashukuru sana
zittokabwe Kwa mara ya kwanza nilihudhuria kikao cha UKAWA hapo jana, niliwamiss sana na ninashukuru kuniunga mkono
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni