Jumamosi, 29 Novemba 2014
HAYA NDIO MAAZIMIO YA KAMATI YA MARIDHIANO
1- Andrew Chenge, mwambalaswa na William ngereja
waondolewa uenyekiti wa kamati zao
2- prof.Muhongo,AG werema, katibu mkuu maswi, prof.Tibaijuka, waondoke
3-Bodi ya tanesco ivunjwa
4- serikali iwasilishe bungeni mapitio yote ya mikataba ya umeme
5-majaji waliohusika kwenye ufisadi wasimamishwe kupisha uchunguzi
6- stanbic bank na mkombozi au benki nyingine yoyote zitangazwe
kuwa institute of money laundering (taasisi ya kutakatisha fedha haramu)
7-kuitaifisha mitambo ya iPTL kwa Tanesco
8- TAKUKURU na Polisi wamchukuliehatua bwana Sethi, na kumfungulia
mashitaka
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni