Asilimia kubwa sana katika mahusiano kumekuwa na jambo la kutoaminiana.
Tunapoongelea why
Girls cheat? Wewe
unafikiri ni kwanini msichana anafikia kuwa na tabia hiyo? Je ni tamaa?
pesa? na vipi kama nikisema maranyingine mwanaume anaweza kusababisha msichana
kuanza tabia hiyo hata kama hakuwanayo?? Kama vile
kupungua kwa urafiki wa kimapenzi , msichana anaweza kuwa na kila kitu kama nyumba nzuri,
magari na vitu vya thamani,kwa ufupi nje kuko sawa lakini ndani akawa
anapungukiwa kitu kimoja tu na muhimu sana katika mahusiano yake urafiki wa
kimapenzi.
Kama unavyojua sio tu tendo la ndoa linalofanya wanawake kujisikia
wameunganishwa katika mahusiano; kuna kama kushikana sehemu maalum ambazo zitampa
msisimko, mabusu motomoto, na kuwa na mahusiano mazuri kati ya mtu na mpenzi
wake. Women crave it, na akikosa huduma hiyo nyumbani anaweza kuitafuta
inapopatikana.Na hili kuboresha urafiki tenga mda maalumu na mpenzi wako,
na kuwa na tabia ya kumpa nafasi ya kutoa mawazo yake na hakuna kitu kibaya
kama kutojua mpenzi wako anapenda nini na hataki nini; na kama kunahitajika
kufanya maamuzi sehemu Fulani basi si vibaya kama utamshirikisha na kutimiza
mambo yote hayo kunaleta ukaribu zaidi kwa wapendanao.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8n6PPYUr3lY8RAR7gjby6_ORuhqb0JbRj1LzP5RvMSKe1QbKjzblgTVqqdc2mIsOCVe6-32Dc_9ooqFNxWVj2QR5yl2VHbgGqyaAfXJ5kkRyEDwwa9Yt9-yPR2MrSWdfZ0txqkRWyEoZA/s1600/minciuna1.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLkqgcTP4xkP7u07vBc-0PGw-_sKCcBNnKHYc_vNpzNsEoduQQwZlKablyxGJWPXXQ54umpxyHc5Y4JtUmREnusGXPd7PO-GJOvc6-yUiWjeMuKRHYic3SjY8Ch1s09ky_XVBGjTPfWXTy/s1600/529862_3617224791496_1300154741_3435235_423591033_n.jpg)
·
HEARTBREAK. inavunja uaminifu aliokuwanao msichana hapo
awali na kujisikia kujeruhiwa na kulaghaiwa ndipo hapo sasa inapoleta mawazo
mabaya ya kulipiza kisasi au kutolipa umuhimu swala zima la uhaminifu katika
mapenzi na mahusiano.
BUTWHY DO YOU CHEAT??
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni