Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Jumatatu, 17 Novemba 2014
KANALI AHUKUMIWA KUNYONGWA, CONGO DR
Waaandamaji wakipinga kuuawa kwa Kanal Ndala
Mahakama ya kijeshi Mashariki mwa
Jamuhuri ya Demokrasi ya Congo imemhukumu kifo Kanali Birocho Nzanzu
baada ya kubainika na makosa ya kutaka kumuua afisa wa jeshi la nchi
hiyo aliyekuwa mstari wa mbele kutokomeza wapiganaji wa M23.
Afisa anayedaiwa kupangiwa
njama za kuuawa ni Mamadou Ndala mabaye kwa kiasi kikubwa aliamini
katika vita dhidi ya kundi hilo la wapiganaji na ambaye aliuawa mwezi
januari mwaka huu. Hata hivyo hukumu hiyo imetolewa kwa watuhumiwa nane
ambapo kati ya hao mmoja ndiye Kanali Ndala aliyehukumiwa kifo. Mahakama
imebainisha kuwa Kanali Nzanzu amekuwa akitumiwa na waasi wa ADF kutoka
Uganda kuandaa maujaji.
Chanzo BBC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni