Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Alhamisi, 27 Novemba 2014

MH.SOSPETER MUHONGO ALIVYOJIBU TUHUMA ZA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

 


            Mh. Sospeter Muhongo
 YANAYOJIRI BUNGENI (MUHONGO ANAJIBU SASA TUHUMA ZA ESCROW JUU YA YEYE KUWA DALALI MKUU)
Mh. Sospeter Muhongo amesimama sasa kujibu juu ya tuhuma za akaunti ya ‪‎TegetaEscrow‬
Muhongo: Natoa shukrani zangu kwa PAC na TRA kwa kufanya uchunguzi ambao umetuleta leo hapa kujadili suala hili la #TegetaEscrow
Muhongo: Natoa shukrani zangu kwa PAC na TRA kwa kufanya uchunguzi ambao umetuleta leo hapa kujadili suala hili la #TegetaEscrow
Muhongo: 1994 serikali ilitoa kazi kwa IPTL, kampuni hii ilipewa leseni ya kujenga mtambo wenye uwezo wa kutumia megawati 100 #TegetaEscrow
Muhongo : 1995 IPTL na Tanesco walisaini mkataba wa kuuziana umeme kwa muda wa miaka 20. #TegetaEscrow
Muhongo: Taarifa hiyo ya PAC sio kweli kwani Tanesco haijawahi kufungua kesi yoyote kupinga kiwango kikubwa cha gharama. #TegetaEscrow
Hadi sasa bado hajajibu swali la msingi linalomkabili, tutaendelea kukujuza

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni