WIVU NI NINI ???? HILI SOMO LIPO EWANI TEMBELEA ULISOME
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRYtofFk2zKiKDPwNYDE8_xCnnd9hocdvnXEgMyBGRXDOf4mh-ZA02Z2kEjx4mxd3ZnNqgqyRofNX1pZsMhJG55BXfVkf2niWfoJVv67UkSWxJwF84SgUQd1Xmz4zunIoVYV7GkFGuI-zR/s1600/mmmmm.jpg)
HILI
NI SWALI AMBALO KILA MMOJA ANAJIULIZA, NA WENGINE WAMEJIKUTA WAKIWA KWENYE HALI
YA WIVU KWA KIPINDI KIREFU SANA, NA WENGINE WANAFIKIRI LABDA WIVU UNAWEZA
KUEPUKIKA, KAMA WENGINE WANAVYOFIKIRI KWAMBA WIVU HAUEPUKIKI.. HAYA NI BAADHI
YA MAMMBO AMBAYO KILA MMOJA ANAKUWA AKIJULIZA SANA ANAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO
NA NI HALI AMBAZO ZINAMTOKEA.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOkb2XgNsm0rpmCRgfZdK40ibvKrijnuOR58bixX0Tk7vTV_Jl3-iEQxxRRwnEVuetUlJG01VRwoEaxudgKTE-HVGTgOx_T5onj5UqNYLX_I9w6mW1vGB0sO11mggHn8jOcIy2QjalyHmB/s1600/JJJJ.jpg)
WIVU UNAWEZA KUWA MZURI NA UNAWEZA KUWA MBAYA, WIVU UNAWEZA KUTENGENEZA NA
UNAWEZA KUHARIBU NI LAZIMA HIVI VITU VIWILI VICHUKUE NAFASI UNAPOKUWA NA WIVU
NA UNAPOKUWA UNAENDESHA PENZI/ NDOA.
LAKINI PAMOJA NA HALI HIZO ZOTE MBILI KUWEPO, ZA KUHARIBU NA KUTENGENEZA, JE
LIPI LINALOONGOZA? UWE WIVU WA KUHRAIBU AMA WA KUTENGENEZA? TUNAPOSEMA WIVU WA
KUTENEZA NA WIVU WA KUHARIBU ZOTE NI WIVU, ILA MATUMIZI YAKE AMA NAMNA YA
KUENDESHA WIVU HUO NDIVYO VINAVYOFANYA SASA UHARIBU AMA UTENGENEZE.
WOTE TUNAJUA KWAMBA PAMOJA NA KWAMBA WIVU HUHARIBU AMA HUTENGENEZA LAKINI WIVU
KAMA WIVU UMEBEBA: 1. Choyo, 2. Kujipendelea, 3. Kuhitaji, 4. Kutamani, 5.
Hasira 6.Kuhudumia 7.Kupenda 9. Kubana , 10, Kutawala nk.. Hivi ni baadhi tu ya
Vionjo vilivyopo katika WIVU.
VIONJO HIVYO KUMI NA VINGINE VINGI KULINGANA NA MTU WENYE WIVU AMA MHUSIKA WIVU
NDIYE SASA HUWEZA KUFANYA WIVU UKAZAA KUHARIBU AMA KUTENGENEZA,,, KWA NINI
TUNASEMA KUHARIBU AMA KUTENGENEZA? Assume mwenye wivu akawa na Hasira,
Kujipendelea, Kubana, Kutawala na choyo? nini kitazalika hapo? Bila shaka
ni Zaidi ya Kuharibu,, lakini turudi upande wa pili,, mwenye wivu huyo huyo,
akawa na Kupenda, Kutamani, Kuhitaji, Huoni kama atakuwa ANATENGENEZA?
HIVYO BASI, TUNAPOFIKIA KWENYE KUULIZA JE WIVU NI JAMBO ZURI? Jibu lake lazima
liwe hivi.... Bila wivu hakuna mapenzi,, na ambaye hana wivu na mpenzi wake
basi hana mapenzi ya dhati kabisa,, hili ndilo jibu la swali hili... Wivu ni
mzuri na katika mapenzi wivu wahitajika sana,, Hivyo mtu usiogope wala kujizuia
kuwa na wivu hata kidogo, wala hakuna baya ufanyalo ila ni upenzi
unaokusukuma.. Lakini tunapokuja kwenye swali la pili NIFANYEJE NINAPOKUWA NA
WIVU? Kuna njia nyingi za kufanya unapokuwa na wivu, ili sasa wivu wako usiwe
ni wa kuharibu ila wa kutengeneza, na wengi hapa ndipo wanapokosea... Ufanye
nini? Unapokuwa na Wivu unachotakiw kukifanya ni kuwa na VIONYO Vifuatavyo
kwenye wivu wako : 1. Mtamani sana mpenzi, Mhitaji sana mpenzi, mhudumie sana
mpenzio na mpende sana,, kwani ukiweza kuwa na wivu wenye vionjo hivi humfanya
apende kuwa karibu na wewe, hali ambayo itakufanya uridhike.
Nini kinachowashinda wadada wengi wanapokuwa na wivu? wanakuwa wachoyo, hasira,
kutokujali nk.. na wanapokuwa na vionjjo hivi mara nyingi huharibu na huwa
kero, lakini wanapojikuta wanakuwa na wivu uliobeba vionjo tajwa hapo kwenye
comment ya juu ya hii, unajikuta wivu wako mpenzio anauthamini na unaridhika na
kuepusha shari migogoro na magomvi. Hivyo ni lazima muwe makini katika kutumia
wivu wenu.
KINACHOPELEKEA WIVU KWA MPENZI / MUMEO NI NINI? Kinachopelekea wivu kwa
mpenzio, Mumeo ni kwanza kabisa ile hali ya kujihesabu MMILIKI HALALI... Ndio
maana tunashauri ni bora kuwa na wivu kwa Mume ili hali kuna vigezo vinakulinda
na kuna mambo ambayo yatakupa kufanya wivu wako kuulimiti ama kuuendesha
utakavyo usilete madhara kuliko kuwa na wivu kwa mpenzi.. Hivyo Basi, hakikisha
kwamba UNAPOKUWA NA WIVU ILI USIUMIE NI LAZIMA UWE MMILIKI HALALI.. Kwani
unapokuwa sasa sio mmiliki halali unajikuta mara nyingi unaumia na kusononeka
kwa wivu.. na ndio maana wakati sisi tunafundwa katika masuala ya kuingia
kwenye mapenzi, Tulipewa ILANI ya kutomuonea wivu kijana ambaye huna uhakika
kwamba atakuwa mpenzi wako wa kudumu... na ndio maana unapokuwa na wivu kwa
kijana fulani ULIYEJIMILIKISHA WEWE BILA KUWA MMILIKI HALALI, unaendelea kuwa
na wivu naye hata mkiachana (wale ambao mmekuwa na wapenzi mliojimilikisha na
ikatokea mkaachana mtakuwa mashahidi kwamba hadi sasa mnawakumbuka na kuwaonea
wivu.. hahahahahhaa.... sorry though)
UNAPOKUWA NA WIVU NA MUMEO NI RAHISI KWANI KUNA WAKATI ATAKUWA NA WEWE KARIBU
KWA NJIA YA ULAZIMA,,, HIVYO BASI ANAPOKUWA NA WEWE NDIPO PALE SSA TUNASEMA
WIVU WAKO UWE WA KUHITAJI, KUTAMANI NA KUHUDUMIA,, UNAPOMTAMANI, UTAMHITAJI
UNAPOMPATA UTAMPA HUDUMA, NA KWA VILE SASA UTAFANYA KWA KUMAANISHA, KUNA
UWEZEKANO MMKUBWA MHUSIKA HUYO ANAYEONEWA WIVU AKAJIKUTA ANAPENDA KUKAA KARIBU
NA WEWE HAIJALISHI UNA WIVU KIASI GAANI LAKINI TU KWA SABABU UMEBEBA VIONJO
TAMANISHI..
MATOKEO MABAYA YA WIVU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni