Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Jumatano, 3 Desemba 2014
ILO INASEMA TANZANIA INAONGOZA KWA WATU WASIOFANYA KAZI.
Shirika la kazi la umoja wa mataifa (ILO) limesema pamoja na Tanzania
kuwa na mikakati mingi ya kutaka kuwakwamua wananchi wake na suala la
umaskini itakuwa vigumu kufikiwa kwa lengo hilo kutokana na kuwa na watu
wengi wasio na kazi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni