Tendo la ndoa au
ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa
wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya
kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu
ili kuweza kufurahia tendo hili.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia
ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa
chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza
kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni
muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika
mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye matako) ukipandisha juu,
fanya hivyo mara kadhaa. Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya
zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika
na majimaji yakiongezeka kwenye uke.
Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi
la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu
kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine
huwa kidogo zaidi. Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha
zungusha kidole juu ya kinembe, pandisha na kushusha kidole chako na hapo
unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya
hujaiingiza uume.
Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga
eneo la kinembe na hii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la
uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio
sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke
kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,
sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe, hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume
kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa
kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.
Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake
utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au
kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya
tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na
kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na
utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema
sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja
yake, fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa
papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya
wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa
miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake, mashavu na
kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie
amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa, sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika
ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke
anaweza akapizi mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya
kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na
kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke, sehemu hii imekaa kama sponji na
huwa ngumu kwa kadiri
inavyobonyezwa.
Mwanamke anawezakujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila
raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 ni muhimu. Suala lililo muhimu
sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi
wanavyojisikia
MC.RAY
WHATSAPP 0659/375263
INSTAGRAM MC.RAYMONDMUSHI
FACE BOOK Raymond Mushi
PAGE Rayshughuli
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni