Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Alhamisi, 11 Desemba 2014

SOMO LA HOUSE GIRL LIKO TAYARI.


 DADA WA KAZI.JE KWA MAVAZI HAYA NDOA INAUSALAMA
Kuna jambo nimekuwa nikiliwaza na pia nimekuwa nikitumiwa barua pepe na wasomaji wa blog hii ya rayshuhuli.blogspot.com. Wakitaka niandike kuhusu kwa nini tunawatumia sana ma-housegirl/boy(wasaidizi wa nyumbani)kama sio binadamu.

DADA WA KAZI AKIWAJIBIKA
Kuhusu wasaidizi wa nyumbni sitakikusema kuwa watu wasiwe na wasaidizi la hasha! Ila tu kuna wakati utakuta wengine wanawatumia wasaidizi hao kama mashine na sio binadamu. Yaani atafanya vijikazi hata ambavyo mke /mume au mtoto angeweza kufanya mwenyewe kwa mfano kufua nguo za ndani(chupi) kuchota/kuchukua maji ya kunywa. Nimewahi. Na halafu la kusikitisha zaidi utakuta msaidizi huyohuyo anatamaniwa na mwisho kupachikwa mimba. nimewahi kusikiliza wimbo mmoja wa Dr Remmy Ongala Hamisa ukisema hivi "Akina mama nao jamani eti mfanyakazi wake anaanguka naye" au pia ni kinyume "akina baba nnao jamani eti mfanyakazi wake anaanguka naye". Na hii inatokea mara nyingi na bado tatizo hili linatokea kila siku katika jamii/ndoa zetu.

Naweza nikasema maisha ya ndoa au maisha kwa ujumla kikubwa zaidi ni KUSAIDIANA:- Nikiwa na maana ni vizuri sana kusaidiana kwani ukimwacha mwanamke afanye kila kitu ndani ya nyumba atakuwa anachoka na mwisho wake atashindwa kuitumikia ndoa yake. Na matokeo yake mume ataanza kutafuta nyumba ndogo. Lakini kama kungekuwa na umoja haingetokea hivi.
Tuwe waaminifu na ndoa zetu zitadumu na tuwatumie wasaidizi wetu kama binadamu, tuaache utumwa.

MC.RAY
WHATSAPP 0659/375263
INSTAGRAM MC.RAYMONDMUSHI
FACE BOOK Raymond Mushi
PAGE Rayshughuli



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni