
Mapenzi ni tofauti sana na Football.Najua
wanaume wengi tunapenda Football,inatuharibu sana..Maana kwenye Football watu
wanahangaika,mikiki mikiki,vikumbo,rafu ilimradi wapate magoli mengi washinde
mechi,wafurahi...
Mapenzi ni tofauti kabisa,makeke yawepo ila
sio kwenye kukimbilia golini kucheka na nyavu...Hayahitaji wewe kukimbia
wee,kupiga supu ya Pweza na bamia mbichi ili ukako...moe uwanjani...Mwanamke
hahitaji maraundi yako kibaooo utadhani mko kwenye Cricket,anahitaji yeye
kufunga,concentrate kumuwezesha..wanawake wakiwezeshwa wanaweza,lakini wengi
tumekuwa tunajiwezesha wenyewe.
Kwanza wewe its guaranteed,utafunga tu penati
mwisho wa mechi,unakimbilia wapi??Tulia, muwezeshe mama apige danadana,mpe
afunge hadi aseme puliza filimbi!kwa vyovyote wewe utafunga la kwako mwishoni
tu,sasa kimuhemuhe cha nini kucheua uji wa ulezi kwa dakika 5?
MC.RAY
WHATSAPP 0659/375263 INSTAGRAM MC.RAYMONDMUSHI FACE BOOK Raymond Mushi PAGE Rayshughuli |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni