Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumanne, 2 Desemba 2014

ANGALIA MAPOKEZI YA DAIMOND AKITOKEA SOUTH AFRIKA.UMATI MKUBWA WA WATANZANIA WAFURIKA AIR PORT

 Umati wa watu waliofika air port kumpokea Daimond akitokea south afrika
 kila mwananchi anahamu ya kumshika Daimond na wengine kutaka kumpiga picha
Daimond akionyesha tuzo kwa watanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni