Kiongozi wa mashitaka aliyewasilisha kesi ya rufaa dhidi ya Pistorius
Mahakama nchini Afrika Kusini
imemruhusu kiongozi wa mashitaka kukata rufaa dhidi ya kosa
alilopatikana nalo hatia Oscar Pistorius la kumuua mpenzi wake Reeva
Steenkamp.
Kesi hio, sasa itaanza kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa kusudi.
Kiongozi wa mashitaka Gerrie Nel aliambia mahakama kuwa hukumu hio ni ndogo sana ikilinganishwa na kosa la Oscar.
chanzo bbc.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni