Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 10 Desemba 2014

MAANDALIZI YA UCHAGUZI


Watanzania watafanya uchaguzi wa serikali za mitaa Desemba 14
Tume ya Taifa ya Uchaguzi  imeanza kazi ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura.
Katika maboresho hayo, tume imeanzisha mfumo wa kuchukua au kupima taarifa za mwili au tabia ya mtu ujulikanayo kama Biometric Voter Registration, BVR na kuzihifadhi kwenye data base za tume hiyo.
Vyama vya siasa na wadau wengine wa masuala ya uchaguzi wamekuwa wakitaka pawe na mfumo utakaosaidia kuondoa udanganyifu unaosababisha uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni