Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 10 Desemba 2014

WANAJESHI WAUAWA AFAGHANISTAN.


Shambulio lililofanywa na Taliban
polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.
Wamesema shambulio hilo, lakujitoa mhanga lililenga basi lililokuwa limejaza wanajeshi mashariki mwa mji huo.
Wapiganaji wa Taliban wamedai kuhusika na shambulio hilo.
chanzo bbc.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni