Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumanne, 9 Desemba 2014

RAIS KIKWETE AMETOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA.



Leo Tanzania bara imetimiza miaka 53 tangu ijipatie Uhuru wake,Rais wa
Tanzania Jakaya Kikwete katika kuadhimisha sherehe za miaka 53 ametoa msamaha kwa wafungwa 4969 wakiwemo wafungwa 4082 ambao wamepunguziwa adhabu zao na huku 887 wakiachiwa huru.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni