Kwa kosa la kutupa unga vichakani, Mahakama yawahukumu miaka 5 jela…
Jeshi la Polisi katika jitihada za kupambana na madawa ya kulevya, limewakamata watu wawili waliokuwa katika gari baada ya kutupa dawa za kulevya vichakani zenye thamani Paundi 230,000.
Watuhumiwa hao walikamatwa baada ya
kurekodiwa na kamera ya video iliyofungwa kwenye gari ya Polisi
ikionyesha jamaa hao wanavyotupa mzigo huo vichakani.
Jamaa hao Kabbar na Duckworth wamehukumiwa kifungo cha miaka 5 kila mmoja kwa kosa la kukutwa na kifurushi cha Heroin, na kosa la kundesha gari kwa kasi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni