Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Ijumaa, 30 Januari 2015

LIPUMBA NI SAWA NA KIKWETE KWANINI APIGWE?

YANAYOJIRI BUNGENI SASA:  MJADALA JUU YA LIPUMBA KUPIGWA!! - LIPUMBA NI SAWA NA KIKWETE KWANINI APIGWE?

Spika Makinda: Hoja hii tunaijadili kwa dakika 3, namuita mchangiaji wa kwanza

Tundu Lissu: Kanuni zinasema tutumie dakika 15, haiwezekani waziri atumie dakika 30, na AG atumie 15 halafu sisi 3. Natumia 15

Spika Makinda: Haya basi tumieni dakika 10 na siyo 15, lakini tuzingatie tahadhari iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu

Tundu Lissu: Huyu waziri wa mapolisi amesema uongo na hastahili kuwa katika nafasi kuanzia sasa

 Tundu Lissu: Sasa tumejua kuwa ile kauli ya WAPIGWE TU ni kauli ya serikali na kauli ya CCM, jeshi la polisi ni la ma 'FACIST'

 Tundu Lissu: Bunge lichukue hatua dhidi ya Polisi, waziri Mkuu, Waziri Chikawe, IGP naibu IGP. Tumechoka lazima wawajibike

Tundu Lissu: Tunahitaji tuunde tume teule kuchunguza matukio ya mapolisi kupigwa watu, tumechoka kupigwa

 Tundu Lissu: Tukiendelea hivi na tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba, kumbukeni nyie ni wanachama wa mahakama ya Kimataifa ICC

 Rashid Abdallah: Mauaji yanafanyika katika nchi hii, watu wanakufa, halafu jeshi la polisi lipo tu linaangalia

 Rashid Abdallah: Waziri Mkuu bado anashabikia watu kuendelea kupigwa, Waziri hafai kuongoza wizara hii

 Rashid Abdallah: Prof Lipumba ni sawa na Kikwete, wote ni wenyeviti wa vyama halali, haiwezekani afanyiwe vitendo kama vile

Mbowe: Nasikitika sana kwa taarifa aliyoitoa Chikawe, tupo kama serikali ilivyo kudharau na kuchukua taarifa ya upande mmoja

Mbowe: tarehe 27, nilipokuwa na Prof Lipumba, askari polisi waliniambia kuwa taarifa hii ya kupiga walipewa kutoka juu. Sitawataja

 Mbowe: Mimi mwenyewe ni muhanga, nilishambuliwa na bomu, nikashambuliwa kwa Machine Gun na nikashambuliwa kwa bastola siku moja

Mbowe: Mnafurahi kwa kuwa hampigwi nyinyi, Rose Kamili alipigwa Iringa na watu wa CCM na Polisi mkafurahi, na sasa amekuwa kilema

Mbowe: Rose Kamili ameigharimu serikali zaidi ya milion 102 kwa matibabu nchini India, hamuoni hasara kwa taifa masikini kama hili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni