Equitorial Guinea
Burkina Fasso wamepiga chuma cha
goli mara mbili na hivyobasi kuzuiwa na Equitorial Guinea katika sare ya
kwanza ya 0-0 katika michuano ya mataifa ya Afrika.
Alain Traore
aliupinda mkwaju wake dhidi ya chuma cha goli kunako dakika ya 19 na 20
kabla ya mkwaju wake kupigwa nje na mlinda lango wa Equitorial Guinea
Didier Ovono.Wachezaji wa Burkinabe pia karibia wafunge baada ya kipindi cha kwanza wakati Jonathan Pitroipa aliposhindwa kufunga krosi .
Mchezaji wa Equitorial Guinea Doualla alikosa bao la wazi alipopiga juu akiwa katika eneo la hatari.
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni