Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatano, 21 Januari 2015

YALIYO JIRI YA MWAKA 2015


Wananchi wilayani Makete mkoani iringa, wamchinja Duma (Cheetah) na kugawana nyama kwa ajili ya kitoweo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni