Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 24 Januari 2015

GOODLUCK JONATHANAFIKA MAIDUGURI TENA


 Wakimbizi mjini MaiduguriRais wa Nigeria, Goodluck Jonathan, anafanya kampeni za uchaguzi katika mji wa kaskazini-mashariki mwa nchi wa Maiduguri.

Mji huo uko kati ya jimbo lilokumbwa na mashambulio mengi kabisa ya wapiganaji Waislamu, Boko Haram.
Ulinzi mkali umewekwa katika eneo la uwanja wa michezo ambako anahutubia wafuasi.
Kabla ya ziara ya rais, Boko Haram walishambulia kijiji nje ya Maiduguri na kuuwa watu kama 15.
Wadadisi wanamshutumu rais kuwa ameshindwa kuwalinda raia dhidi ya Boko Haram ambao wanadhibiti eneo kubwa la kaskazini-mashariki mwa Nigeria.
CHANZO BBC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni