Rais Barack Obama ametoa wito wa kuwekwa sheria kali za kudhibti
matumizi ya mitandao huku waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon,
akitoa ombi kwa mitandao kama ile ya Facebook na Twitter pamoja na
kampuni za usalama kuisaidia Uingereza kuingia katika mitandao ya
washukiwa wa ugaidi.
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni