Afcon
Mkufunzi wa timu ya Cape Verde Rui
Aguas amebaini kwamba atafanya mabadiliko katika mechi dhidi ya Congo
DRC lakini akongezea kwamba ameamua kuweka siri mbinu atakayotumia.
Huku akikiri kwamba baadhi ya wachezaji wake wana majeraha amesema hatasema ni wachezaji gani.Naye mshambuliaji wa DRC Congo Yannick Bolassie ambaye ndiye mfungaji wa bao lililosabbisha sare ya 1-1 dhidi ya Zambia anasema wataibuka washindi.
CHANZO BBC
Amesema: Cape Verde ina wachezaji wazuri lakini tunataka kusonga mbele katika kundi hili halafu chochote chaweza kutokea''
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni