Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumapili, 18 Januari 2015

POMBE IKISHAFIKA MAHALA PAKE HIVI NDIVYO INAVYO KUDHALILISHA SOMA TAARIFA KAMILI

Baada ya pombe kufika mahala pake njemba hizi zikaanza kubishana juu ya kupigana wakiwa uchi nani anae weza na atakae weza kumtwanga mwenzie atanunuliwa kiloba,ndipo njemba hizi mbili zikawekeana dau na kuanza kuchapana huku wakiwa kama walivyo zaliwa.ilikuwa ni vichekesho.maana mtu akirusha ngumi mahelehele yanacheza na wote walikuwa wanawaiana kwa babu........mpaka tunatoka eneo la tukio maeneo ya vingunguti akuna mshindi alie patikana

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni