Dominic Ogwen
Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la
waasi la Lord resistance Army,Dominic Ong'wen atafikishwa katika
mahakama ya kimataifa ya ICC mjini the hague nchini uholanzi.
atakabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kivita.
Ong'wen ni kiongozi
wa juu wakwanza kutoka katika kundi la waasi la Uganda, LRA kufikishwa
mahakamani baada ya miongo miwili ya mapigano dhidi ya Serikali ya
Uganda.Mahakama ya ICC imesifu hatua hii ikisema kuwa ni hatua yenye kuelekea kumaliza visa vya kigaidi vinavyotekelezwa na LRA
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni