Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumamosi, 17 Januari 2015

KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!



Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja.. wanahug, wanakiss, wananasex but responsibly.. coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.
Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa……, ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa nyumbani’ Hapa binti anaanza kuwaona wavulana km viumbe hatari sn.!
Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo anaringa balaa.
Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’ hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe anataka.
Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu 'Wewe vipi wenzio wote wameolewa.. unasubiri nini’ hapa ndo kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss.. umenimiss my foot??
Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema 'Tumeshakuonya
acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti anapanick.. anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.
Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja
kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’ binti anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati aliringa mwenyewe.
Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha makanisa lakini hafanikiwi.
Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo.. unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni sawa tu.. usichague sana.. tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’
NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI KWA MAISHA YAKO 
                                                                                MC.RAY
WHATSAPP 0659/375263
INSTAGRAM MC.RAYMONDMUSHI
FACE BOOK Raymond Mushi
PAGE Rayshughuli

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni