Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 12 Januari 2015

PAPA FRANCIS ZIARAN SRI LANKA


Papa Francis
apa Farncis amewasili nchini Sri Lanka ambako anatarajiwa kusisitiza umhimu wa mazungumzo baina ya makundi mbalimbali ya imani hasimu za kidini nchini humo.
Pia Papa Francis akiwa nchini humo aanatarajiwa kuhimiza ala la maridhiano wakazi walio wengi wa visiwa vya Sinhalese na wale wachache wa kisiwa cha Tamil.
Hii ni ziara ya kwanza kwa Papa Francis kutembelea taifa hilo tangu ziara ya kwanza ya Papa ya mwaka 2009.
Rais wa sasa wa Sri Lanka Maithripala Sirisena ameahidi kukomesha ubaguzi wa kidini visiwani humo.
chanzo bbc

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni