Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 12 Januari 2015

KATUNI YA MTUME MOHAMMAD KUCHAPISHWA


Gazeti la Vibonzo la Charlie Hebdo
azeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la ufaransa toleo la kesho jumatano litarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Mohamed katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa"
Walioona kibonzo hicho wanasema Mtume Mohammad ataonekana akishikilia bango lililoandikwa "Je suis Charlie" maneno yenye tafsiri "mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano, baada ya shambulizi katika ofisi za gazeti hilo jumatano wiki iliyopita ambapo wafanyakazi kumi na wawili wa gazeti hilo waliuawa.
Nakala milioni tatu za gazeti hilo la kesho tayari zimeshachapishwa tofauti na kawaida ambapo huwa linachapisha nakala sitini elfu kwa wiki.
chanzo bbc

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni