Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 12 Januari 2015

RONALDO MWANASOKA BORA WA DUNIA 2014

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno CRISTIANO RONALDO ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya FIFA ya Mwanasoka Bora wa mwaka 2014 maarufu kama FIFA BALLON D'OR ikiwa ni kwa mara ya pili mfululizo.
Ronaldo amewashinda Lionel Messi wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina pamoja na golikipa wa timu ya taifa ya Ujerumani na bayern Munich manuel Neuer.
Ronaldo ameshinda kwa kupata 37.66% ya kura zote zilizopigwa, akifuatiwa na Lionel Messi aliyepata 15.76% wakati @Manuel_Neuer akipata 15.72% ya kura zote.
Katika Tuzo hizo, kocha wa timu ya Taifa ya Ujerumani Joachim Low ametajwa kuwa Kocha bora wa FIFA wa mwaka 2014, na James Rodrigues amepata tuzo ya bao bora la FIFA la mwaka 2014 na kutunukiwa tuzo ya FIFA PUSKAS AWARD kwa bao aliloifungia Colombia katika mchezo wa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.
Kikosi bora cha FIFA ni
Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Roben

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni