Shule

Shule
Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache

Jumatatu, 12 Januari 2015

MIAKA 51 YA MAPINDUZI, NEEMA YATANGAZWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR


Rais Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amewaongoza Wananchi wa Zanzibar katika maandhimisho ya Miaka 51 ya Mapinduzi na kutangaza kuwa kuanzia mwaka huu, Elimu ya Awali na Msingi itatolewa bure kwa kuwa serikali itagharamia gharama zote na pia kwa Elimu ya Sekondari, serikali itagharamia ada ya mitihani ya kuhitimu kidato cha 4 na kidato cha 6

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni