Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal
Kocha wa Man United Louis Van Gaal
amesema uamuzi wa kumuondoa mshambuliaji Radamel Falcao kutoka kwenye
kikosi chake ulikuwa wa kiufundi.
Falcao ambaye alicheza mechi
tano za awali, alishuhudia timu yake ikipoteza mchezo kwa bao 1-0
walipokutana na Southampton hapo jana wakiwa Old Trafford.Falcao anaichezea manchester kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu akitokea Monaco lakini amefunga magoli matatu pekee tangu alipojiunga na Manchester mwezi Septemba mwaka jana
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni