Wabunge wa Kenya wamepigana ngumi, kun'gatana na kuoneshana ubabe zaidi bungeni kufuatia kutofautiana juu ya muswada tatanishi wa usalama
Wabunge wa upinzanzi walipinga muswada huo na kuanza kurusha karatasi sakafuni na kukatiza shughuli Bungeni humo
Mapendekezo ya muswada unaopingwa ni kwamba mshukiwa wa ugaidi anaweza
kuzuiliwa kwa siku 360 kutoka siku 90 za awali huku uchunguzi
ukiendelea.
Wabunge wa upinzani wanapinga muswada huo wenye utata kuhusu usalama maana wanasema unakiuka uhuru wa wakenya
Muswada huu umekuja baada ya kutokea mashambulizi yaliyofanywa na Al Shabaab wakitaka wanajeshi wa Kenya kuondoka Somalia

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni