Shule ya secondary Lilasia yenye usajili no. 3878 inatoa nafasi za kujiunga na kidato cha 1 mwaka 2015 shule ni ya kutwa na bweni. ofa! lipia kwa awamu nne. mawasiliano:- 0754 504 132/ 0756 240 471/ 0754 985 772 Wahi sasa nafasi ni chache
Alhamisi, 18 Desemba 2014
ROBOTI ZAPATA AJIRA MGAHAWANI CHINA
Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri
hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji
wageni. Hebu tazama mambo yalivyo
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni