Mafuta yenye kukamata uchumi wa Nigeria
Waziri wa uchumi wa Nigeria, Ngozi
Okonjo Iweala amewasilisha upya bajeti bungeni ili kuchukua hatua kwa
kushuka bei ya mafuta kimataifa.
Nigeria ni moja ya nchi kubwa
Afrika inakabiliwa na usawa wa mapato na matumizi na robo tatu ya mapato
inatokana na mauzo ya mafuta.wafanyakazi wanapinga hali mbaya ya
umasikini wa nchi na usafirishaji na miundombinu ya usafiri.Wachambuzi wa uchumi wanashauri vyama vya wafanyakazi kutoigeuka serikali inayopambana kuepuka uhaba mkubwa wa mafuta kabla ya uchaguzi mwezi februari mwakani
CHANZO BBC
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni